• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kenya na Uganda U-17 watoshana nguvu

    (GMT+08:00) 2019-04-04 10:50:29

    Timu ya taifa ya soka ya Kenya ya wavulana wasiozidi umri wa miaka 17 imetoka 0-0 dhidi ya majirani zao Uganda katika mechi ya kujipima nguvu uwanjani Utalii jijini Nairobi.

    Kenya ilitumia mchezo huo kujipiga msasa kabla ya kuelekea nchini Misri kwa soka ya kimataifa ya muungano wa vyama vya soka vya kaskazini mwa Afrika (UNAF) yatakayofanyika nchini Misri kati ya Aprili 6 hadi 10 mwaka huu italimana na Misri, Morocco na Algeria.

    Uganda imetumia mchezo huo dhidi ya Kenya kwa maandalizi ya michuano ya mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 la Under-17, yatakayofanyika nchini Aprili 14 hadi 28.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako