• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Bingwa wa soka duniani Pelle augua ghafla na kukimbizwa hospitali kwa matibabu

    (GMT+08:00) 2019-04-04 10:50:59

    Bingwa wa soka duniani, Edson Arantes do Nascimento anayejulikana zaidi kama Pele amekimbizwa hospitali ghafla jijini Paris Ufaransa.

    Mshambuliaji huyo mkongwe aliyewahi kuzitumikia klabu za Santos na New York Cosmos amekumbwa na homa iliyotokana na vijidudu vya tetenasi.

    Taarifa zinaeleza kuwa, Pele alishikwa na homa hiyo siku moja baada ya kukutana na nyota wa PSG, Kylian Mbappe jijini humo. Pele amekuiwa akifurahishwa na uchezaji wa Mbappe.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako