• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Matokeo ya michezo ya ligi kuu Uingereza, Msimamo wa ligi wabadilika.

    (GMT+08:00) 2019-04-04 10:51:19

    Mchakamchaka wa ligi kuu ya Uingereza (EPL) uliendelea jana kwenye viwanja tofauti, watoto wa darajani Stamford -Chelsea aka the blues imevuruga zaidi msimamo wa ligi hiyo kwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion, nayo Manchester City ilihitaji kufanya mabadiliko mengine kwenye msimamo wa ligi hiyo, ikicheza kwenye uwanja wao wa nyumbani imeifunga Cardiff City kwa bao 2-0.

    Tottenham Hotspur ambayo kwa sasa imekuwa ikichechemea ilikuwa na kibarua kigumu dhidi ya Crystal Palace kwenye uwanja wake mpya, hadi mwisho wa mchezo Spurs wameibuka na ushindi wa magoli 2-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako