• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Somalia lamkamata kamanda mwandamizi wa al-Shabab

    (GMT+08:00) 2019-04-05 08:43:22

    Vikosi vya usalama vya Somalia vimemkamata kamanda mwandamizi wa kundi la al-Shabab kwenye operesheni ya mtego iliyotekelezwa jana jioni katika eneo la kusini mwa nchi hiyo. Wizara ya Habari ya Somalia imesema raia wanne wamejeruhiwa katika operesheni hiyo, na baadaye kupewa msaada wa matibabu. Vikosi vya usalama vya Somalia vikiungwa mkono na vikosi washirika vimeongeza operesheni zao za anga na ardhini dhidi ya wapiganaji wa kundi la Al-Shabab, licha ya kundi hilo kuendelea kupambana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako