• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Michuano ya Kombe la DRC kuanza April 21 hadi May 5

    (GMT+08:00) 2019-04-05 09:32:30

    Shirikisho la soka la DRC (FECOFA) limetoa ratiba ya makundi ya michuano ya kuwania kombe la Congo itakayoanza April 21 hadi May 5 mwaka huu nchini humo.

    Michuano hiyo itapigwa kwenye miji ya Kinshasa, Goma na Lubumbashi na kushirikisha vilabu vinavyoshiriki ligi kuu ya nchini humo, vilabu vya ligi daraja la kwanza na la pili na vilabu vitano vilivyoshika nafasi tano za juu katika michuano ya mwaka jana ya kuwania kombe hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako