• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RAGA: Michuano ya Raga Afrika U-20- Kenya yaiangamiza Tunisia

    (GMT+08:00) 2019-04-05 09:33:08

    Kwa mara ya sita katika makala saba ya michuano ya raga ya Afrika ya wachezaji 15 kila upande ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20 itakutanisha Kenya na Namibia baada ya wenyeji timu ya raga ya Kenya (Chipu) kuaibisha Tunisia kwa miguso 73-0 katika nusu fainali ya pili ya kundi A ya michuano hiyo jijini Nairobi, jana.

    Kenya itakutana na timu ya Namibia April 7 katika mchezo wa fainali ambapo mshindi atakata tiketi ya kwenda nchini Brazil kwa mashindano ya dunia ya vijana chini ya miaka 20 yatakayofanyika kuanzia Julai 9 hadi 21 mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako