• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kongamano la Uchumi Duniani kanda ya MENA latoa wito wa ushirikiano katika kukabiliana na changamoto za kikanda

    (GMT+08:00) 2019-04-08 08:49:31

    Washiriki wa Kongamano la Uchumi Duniani kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini MENA la mwaka 2019 lililomalizika Jumapili wametoa wito kwa wadau kuongeza ushirikiano katika masuala ya kijamii, kiuchumi na hali ya hewa ili kushughulikia changamoto za kikanda. Mkuu wa eneo la MENA la kongamano hilo Mirek Dusek amesema, kujenga fursa mpya za ushirikiano ni kutoa nafasi kwa watu kushughulikia dharura za kimazingira na kibinadamu kwa kutumia mtindo wa kiuchumi na kijamii kwa njia inayoshirikisha pande zote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako