• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika: Gor Mahia wakiwa nyumbani wachezea kipigo, Nkana Wapeta.

    (GMT+08:00) 2019-04-08 08:55:46

    Wakiwa nyumbani jijini Nairobi, timu ya Gor Mahia imekubali kichapo cha jumla ya magoli 2-0 toka kwa Berkane ya Morocco katika mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika.

    Gor Mahia sasa wanatakiwa kuwafunga wapinzani wao hawa jumla ya mabao 3-0 katika mchezo wa marudiano utakaopigwa nchini Morocco ili waweze kutinga nusu fainali.

    Nayo Nkana Red Devils ya Zambia, imeibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya CS Sfaxien mchezo uliopigwa katika uwanja wa Nkana mjini Kitwe Zambia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako