Timu ya wanaume ya Voliboli ya Kenya (Prisons) imeingia 8 bora na kubeba matumaini ya Kenya kupata medali voliboli ya klabu bingwa Afrika ya wanaume baada ya kuinyuka Rukinzo ya Burundi kwa seti 3-0 jijini Cairo Misri Jumamosi iliyopita.
Timu hiyo sasa itamenyana na Smouha katika mechi ya robo-fainali ya Klabu Bingwa Afrika ya voliboli ya wanaume .
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |