• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China aenda Brussels kuhudhuria mkutano wa viongozi wa China na Umoja wa Ulaya

    (GMT+08:00) 2019-04-08 18:26:39

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang amekwenda mjini Brussels kuhudhuria mkutano wa 21 wa viongozi wa China na Umoja wa Ulaya. Pia kutokana na mwaliko wa waziri mkuu wa Croatia, Bw. Li atafanya ziara rasmi nchini Croatia na kushiriki kwenye mkutano wa 8 wa viongozi wa China na nchi za Ulaya ya Kati na Mashariki.


    Msafara huo pia unahusisha mke wa waziri mkuu Bibi Cheng Hong, waziri wa mambo ya nje Bw. Wang Yi, makamu mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge la Umma la China ambaye pia ni mkurugenzi wa Kamati ya Maendeleo na Mageuzi Bw. He Lifeng .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako