• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika kwa vijana U-17 kuanza April 28

    (GMT+08:00) 2019-04-09 08:21:08
    Kuanzia Jumapili ya wikiendi ya April 28, fainali za kombe la mataifa ya Afrika kwa timu za vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 kwa mwaka huu zitaanza rasmi kutimua vumbi kwa mara ya kwanza kwenye historia ya michuano hiyo kwenye ardhi ya Tanzania ambapo kwa muda wa wiki mbili, timu nane zitaonyeshana kazi kwa kuusaka ubingwa huo sambamba na tiketi za kucheza fainali za kombe la dunia kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 zitakazofanyika nchini Brazil.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako