• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • KIKAPU: Takwimu kuelekea kumpata mchezaji bora msimu huu wa ligi ya NBA

  (GMT+08:00) 2019-04-09 08:21:26
  Ligi kuu ya mpira wa kikapu inaendelea huku takwimu za kumpata mchezaji bora msimu huu nazo zimeanza. Wachezaji watatu ambao ni Paul George wa Oklahoma City Thunders, Stephen Curry wa Golden State Warriors ambao ni mabingwa watetezi wa ligi ya kikapu nchini Marekani (NBA) na Lebron James wa Los Angeles Lakers wanawania tuzo hiyo, huku nafasi kubwa ikibashiriwa kwa Paul George na Stephen Curry, Lebron James nafasi yake ni ndogo kutokana na timu yake kutoingia katika hatua ya mtoano. Wachezaji wengine walio kwenye nafasi ya kuwania tuzo hiyo ni Giannis Antetokounmpo wa Milwaukee Bucks, James Harden wa Houston Rockets, Joel Embiid wa Philadelphia, Kevin Durant wa Golden State Warriors na Russell Westbrook wa Oklahoma City Thunder.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako