• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Raia 11 wauawa katika mapambano nchini Yemen

    (GMT+08:00) 2019-04-09 09:21:08

    Rais 11 wakiwemo wanafunzi watano wameuawa katika mapambano yaliyotokea jana mjini Sanaa, Yemen. Msemaji wa Umoja wa Mataifa Stephane Dujarric ametoa wito kwa pande zote kujizuia kadri ziwezavyo na kuhakikisha usalama wa Wayemeni wote. Amemnukuu mratibu wa mambo ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen Lise Grande akisema, kulinda usalama wa watu na miundombinu ya kiraia ni kanuni kuu ya sheria ya kimataifa ya kibinadamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako