• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa UNGA atoa wito wa ushirikiano shirikishi kati ya vizazi

    (GMT+08:00) 2019-04-09 09:21:31

    Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UNGA Maria Fernanda Espinosa amesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kina kati ya vizazi tofauti. Akizungumza kwenye Kongamano la Vijana la Baraza la Uchumi na Jamii kwa mwaka 2019, Bi. Espinosa amesema vijana na wazee wanatakiwa kufanya kazi kwa pamoja katika kukabiliana na changamoto kwani wote wanabeba majukumu. Amesema vijana huwa wanachukuliwa kama ni matatizo ya kutatuliwa, lakini amesema hakuna ukomo kwa mambo ambayo kizazi hiki kinaweza kufanya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako