• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Uingereza alazimishwa kuahirisha Brexit ili kuepusha kutokuwepo kwa makubaliano

    (GMT+08:00) 2019-04-09 09:22:08

    Mapendekezo ya kumlazimisha waziri mkuu wa Uingereza Theresa May kuahirisha tena siku ya Brexit yameidhinishwa na mabaraza mawili ya bunge la nchi hiyo. Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya siku ya mwisho ya Brexit ambayo ni Aprili 12, Bi. May anatakiwa kuomba Umoja wa Ulaya kuongeza muda wa Kifungu cha 50 ili kuepusha Brexit isiyo na makubaliano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako