• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marriott International kufungua hoteli 19 mashariki ya kati na Afrika

    (GMT+08:00) 2019-04-09 17:06:36
    Hoteli ya Marriott International imetangaza kuwa itafungua hoteli 19 mashariki ya kati na Afrika mwaka huu.

    Afisa mkuu wa mipango ya maendeleo wa Marriott kanda ya Afrika na Mashariki ya kati Jerome Briet amesema wanachukua hatua hiyo kufuatia mahitaji yanayoongezeka.

    Pia wametangaza kuwa ifikapo mwaka 2023 wanapamnga kuwa na hoteli 100 mpya katika uwekezaji utakaogharimu dola bilioni 8.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako