• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ukuaji wa uchumi Afrika kupungua hadi asilimia 2.3 2018/19

    (GMT+08:00) 2019-04-09 17:07:21
    Benki ya dunia imesema ukuaji wa kiuchumi kwenye kanda ya kusini mwa jangwa la sahara utapungua mwaka huu hadi asilimi 2.3 ikilinganishwa na asilimia 2.5 ya mwak 2017.

    Benki hiyo imesema ukuaji wa kiuchumi unasalia kuwa mdogo kuliko ongezeko la idadi ya watu kwenye kanda hiyo.

    Hata hivyo imesema ukuaji unatajariwa kuongezeka hadi asilimia 2.8 kwenye kipindi cha fedha cha 2019.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako