• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Bei ya maziwa yapanda

    (GMT+08:00) 2019-04-09 17:07:43
    Bei ya maziwa nchini Kenya imeongezeka kwa shilingi 5 kwa nusu lita huku wenye viwanda vya bidhaa hiyo wakilalamikia upungufu.

    Sasa bei mpya itakuwa shilingi 55 ikiwa ni mara ya kwanza kufikia hapo ndani ya kipindi cha miaka 2.

    Mkurungezi wa kampuni ya maziwa ya KCC Nixon Sigey amesema hali huenda ikabadilika mwezi ujao iwapo kutanyesha.

    Alisema kiangazi cha muda mrefu kimesababisha kupunuza kwa uzalishaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako