• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Uganda yalenga magunia milioni 20 ya kahawa mwaka 2022

    (GMT+08:00) 2019-04-09 17:08:21

    Serikali ya Uganda imehahirisha mpango wake wa kuuza nje magunia milioni 20 ya kahawa ifikapo mwaka ujao.

    Sasa wizara ya kilimo imesema maka ujao Uganda haitaweza kuzalisha na kuuza nje kiwango hicho na hicyo kuweka mapengo hayo mwaka 2022.

    Mwaka 2015 rais Yoweri Museveni aliagiza wizara hiyo ya kilimo kuogeza uuzaji nje wa zao hilo ili kuifanya Uganda kuwa kwenye kiwango sawa nan chi kama vile Ethiopia, Vietnam na Brazil.

    Sasa serikali imesema inahitaji kuongeza miundo mbinu na uzalishaji zaidi ili kufikia lengo hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako