• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Deni la Uganda lkafikia shilinbgi trilioni 44

    (GMT+08:00) 2019-04-09 17:08:43
    Wizara ya fedha nchini Uganda imesema deni la taifa limeongezeka hadi trilioni 44.

    Ongezeko hilo linawakilisha asilimia 22 ya kipindi cha fedha cha 2017/18.

    Kipindi cha fedha cha 2016/17 deni la Uganda lilikuwa trilioni 36.

    Hata hivyo serikali imesema deni hilo limetumika kugharamia miradi mikubwa ya miundo mbinu kama vile uwanja wa ndege wa Kabale na mradi wa kawi wa Karuma.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako