• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • AU yataka juhudi za pamoja zichukuliwe kuchochea mafungamano ya kikanda

    (GMT+08:00) 2019-04-10 08:40:42

    Umoja wa Afrika umezitaka nchi za bara hilo, mashirika na taasisi za kikanda kuongeza juhudi zaidi katika mafungamano ya kikanda na maendeleo.

    Wito huo umetolewa na Meneja wa Chuo cha Uongozi wa Umoja huo Bi. Muna Abdalla, kabla ya mkutano wa kwanza wa uratibu wa viongozi wa Afrika. Amesisitiza haja ya kuendeleza uwezo wa watu na taasisi, kama sehemu muhimu ya kuongoza mageuzi na mafungamano barani humo.

    Wito huo umetokana na nia ya viongozi wa Afrika ya kuongeza kasi ya kutimiza malengo ya Ajenda ya mwaka 2063, na utekelezaji wa mpango wa miaka 10 ya mwanzo wa Mpango wa Maendeleo wa Afrika wa Miaka 50.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako