• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • IMF yashusha makadirio ya ukuaji wa uchumi wa dunia kwa mwaka 2019

    (GMT+08:00) 2019-04-10 09:07:37

    Shirika la Fedha la Kimataifa IMF limeshusha makadirio ya ukuaji wa uchumi wa dunia kwa mwaka 2019 hadi asilimia 3.3 katika ripoti yake mpya ya Mustakbali wa Uchumi wa Dunia, WEO. IMF imesema uchumi wa dunia unakabiliwa na hatari za kushuka zinazotokana na sintofahamu katika mivutano ya kibiashara inayoendelea, pamoja na sababu nyingine za nchi na sekta maalumu. Makadirio hayo ya asilimia 3.3 kwa mwaka 2019 ni asilimia 0.3 chini kuliko kiwango cha mwaka jana, lakini yatakuwa asilimia 3.6 kwa mwaka 2020.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako