• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Bechkam azungumza lugha tisa tofauti ikiwemo Kiswahili

  (GMT+08:00) 2019-04-10 09:42:10
  Aliyekuwa mchezaji wa kandanda wa timu ya taifa ya Uingereza David Beckham anayefahamika kujua kuzungumza lugha tofauti zaidi ya tisa, sasa anaongoza kampeni dhidi ya ugonjwa wa malaria huku akitumia lugha hizo tisa.

  Beckham amezungumza lugha hizo zikiwemo Kiswahili, kiarabu, na Kinyarwanda katika Makala fupi ya video ambazo zitatumika kuwashinikiza viongozi duniani kukabiliana na ugonjwa wa malaria, kifua kikuu na Ukimwi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako