• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Uganda ndio mteja mkuu wa bandari ya Mombasa

    (GMT+08:00) 2019-04-10 19:44:58

    Uganda imesalia kuwa mteja mkuu wa huduma za bandari ya Mombasa nchini Kenya mwaka 2018.

    Taakwimu kutoka mamlaka ya bandari nchini Kenya zinaonyesha kuwa kulikuwa na ongezeko la shehena za Uganda la asilimia 10 kutoka tani milioni 8.6 za mwaka 2017 hadi tani milioni 9.6.

    Kwa wastani Uganda huuza nje tani 60,00 za chai moja kwa moja kupitia mnada wa Mombasa.

    Mauzo ya bidhaa hiyo mwaka 2017 yalifikia dola milioni 79.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako