• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kenya yasifu mabasi ya mwendo kasi Tanzania

    (GMT+08:00) 2019-04-10 19:45:55
    Ujumbe wa viongozi wa mji wa Kisumu nchini Kenya umetembelea mradi wa mabasi ya mwendokasi jijini Dar es Salaam Tanzania na kuusifia kwa urahisishaji.

    Mkuu wa ujumbe huo Samuel Okello amesema Tanzania imepiga hatua katika mradi huo na imekuwa nchi ya kwanza ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuwa na mfumo huo wa usafiri wa umma.

    Kaimu mkurugenzi wa Dart, Charles Ogare ambaye pia ni mkurugenzi wa maendeleo ya usafirishaji wa mradi huo, amesema ujumbe huo umekuja na watu 20 kwa ajili ya kutembelea na kujifunza namna mradi wa mabasi ya mwendokasi ulivyoanza na utekelezaji wake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako