• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pesa zinazotumwa na waafrika waishio nje zaongezeka

    (GMT+08:00) 2019-04-10 19:46:55
    Ripoti ya benki ya dunia inaonyesha kuwa wakenya wanaoishi nje ya nchi walituma dola bilioni 1.9 nyumbani mwaka 2018.

    Nchini Uganda kulingana na ripoti hiyo raia wanaoishi nje walichangia pato la taifa kwa asilimia 4.3 kwa kutuma dola bilioni 1.2.

    Na nchini Tanzania fedha zinazotumwa ni dola 450 na kuchangia pato ya kitaifa kwa asilimia 0.8.

    Kwa jumla kwenye kanda ya kusini mwa Sahara utumaji wa pesa uliongezeka kwa asilimia 10 na kufikia dola bilioni 46.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako