• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Beki kisiki kuikosa TP Mazembe, nje wiki mbili

  (GMT+08:00) 2019-04-11 08:47:01
  Beki wa kati wa Simba, Paschal Wawa ataikosa mechi ya marudiano ya robo fainali ya ligi mabingwa dhidi ya TP Mazembe baada ya kutakiwa kukaa nje ya uwanja kwa wiki mbili.

  Wawa aliumia katika dakika ya 5, katika mchezo wa kwanza uliofanyika jijini Dar es Salaam na kutolewa nje na nafasi yake kuchukuliwa na Juuko Murshid katika mechi hiyo iliyomalizika kwa suluhu ya bila kufungana.

  Daktari wa timu hiyo, Yassin Gembe amesema Wawa atakaa nje kwa muda wa wiki mbili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako