• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Karia aiomba kamati ya Makonda kuhamishia nguvu kwa Serengeti Boys

  (GMT+08:00) 2019-04-11 08:47:43
  Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia ameongea na vyombo vya habari jana kuhusiana na maandalizi ya michuano ya mataifa ya Afrika AFCON U-17 yatakayofanyika Tanzania kuanzia April 14 2019 katika viwanja vya Chamazi na Taifa.

  Kuelekea michuano hiyo Karia amemuomba mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kupitia kamati yake ya kuhamasisha Taifa Stars ishinde, kuhamishia nguvu kwa kuisapoti Serengeti Boys ishinde michuano hiyo ili iweze kufuzu kucheza fainali za Kombe la dunia la vijana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako