• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • MIELEKA: Batista astaafu mieleka rasmi, apoteza pambano lake la mwisho

  (GMT+08:00) 2019-04-11 08:50:05

  Juzi ilikuwa mwisho kwa mashabiki wa Dave Batista na mchezo wa mieleka kwa ujumla kumshuhudia tena uliongoni mkongwe huyo akipambana baada ya kutangaza rasmi kustaafu kushiriki mchezo huo wa mieleka.

  Batista alitangaza uamuzi huo katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram ikiwa ni dakika chache tangu atoke ulingoni kupigana na kushindwa pambano lake dhidi ya Triple H, Batista amestaafu chini ya WWE akiwa amehudumu kwenye mchezo huo kwa miaka 20.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako