• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Morocco na Djibouti kuimarisha ushirikiano wa kijeshi

    (GMT+08:00) 2019-04-11 08:56:39

    Inspekta mkuu wa jeshi la Morocco Fathallah El Quarrak na mkuu wa majeshi ya Djibouti Zakaria Sheikh Ibrahim wameahidi nia yao ya kuimarisha ushirikiano wa kijeshi kati ya nchi hizo. Kwenye mazungumzo yao yaliyofanyika mjini Rabat, pande hizo mbili pia zimeeleza kuridhishwa na uhusiano mzuri wa kiwenzi kati ya majeshi yao ambao ulianza mwaka 1981. Tokea Julai mwaka 2009, ushirikiano wa kijeshi kati ya Morocco na Djibouti umekuwa ukiongozwa chini ya makubaliano ya ushirikiano wa kijeshi na kifundi ambao unaangalia kutoa mafunzo kwa maofisa wa jeshi la Djibouti katika shule na katika vituo vya jeshi la Morocco na kutembeleana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako