• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • EU27 yakubali kuongezwa muda kwa Brexit

    (GMT+08:00) 2019-04-11 08:57:10

    Rais wa Baraza la Ulaya Donald Tusk amesema kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter kuwa viongozi wa nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya wamekubali kuongeza muda wa Brexit. Pia amesema atakutana na waziri mkuu wa Uingereza Theresa May kwa ajili ya makubaliano hayo ya serikali ya Uingereza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako