• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UNECA yapongeza mchango wa "Ukanda mmoja, Njia moja" kwenye ujenzi wa miundo mbinu na kuongeza nafasi za ajira

    (GMT+08:00) 2019-04-11 17:32:28

    Katibu mkuu mtendaji wa kamati ya uchumi wa Afrika ya Umoja wa Mataifa UNECA Bibi Vera Songwe, amepongeza mchango unaotolewa na pendekezo la "ukanda mmoja, njia moja" la China kwenye kutatua matatizo ya miundo mbinu barani Afrika na kuongeza nafasi za ajira.

    Bibi Songwe amesema pendekezo la "ukanda mmoja, njia moja" litasaidia vizuri mamilioni ya waafrika kwenye nchi mbalimbali, wakati likizisaidia nchi hizo kuunganisha miundo mbinu yake ya aina mbalimbali na kuongeza nafasi za ajira, jambo ambalo ni muhimu kwa sasa.

    Bibi Songwe amesema anafikiri kuwa pendekezo hilo, linawezekana ni pendekezo kubwa kwa ajili ya ongezeko na maendeleo, hasa kwa kuwa miundo mbinu kwa sasa ni hitaji muhimu kwa nchi za Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako