• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Sudan latangaza hali ya dharura na kuzuia watu kutoka usiku

    (GMT+08:00) 2019-04-11 20:57:12

    Jeshi la Sudan limetangaza hali ya dharura na marufuku ya kutoka nje kwa nchi nzima, baada ya rais wa nchi hiyo Omar Al Bashir kuondolewa madarakani. Baraza la kijeshi linatarajiwa kuundwa na kuendesha nchi, huku waziri wa ulinzi wa nchi hiyo akisema al-Bashiri amekamatwa na kuwekwa kizuizini katika sehemu salama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako