• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Riadha: Mwanariadha wa Ethiopia aiaminisha dunia wakati wa Olimpiki, azawadiwa na serikali yake

  (GMT+08:00) 2019-04-12 07:53:24
  Mwanariadha wa Ethiopia aliyeifanya dunia kutupia jicho hali za migomo na maandamano nchini humo wakati akimaliza mbio za Olimpiki zilizofanyika nchini Brazil kwenye jiji la Rio de Janeiro hatimaye amezawadiwa na serikali ya nchi yake.

  Feyisa Lilesa, amepewa dola za Marekani 17,000 amesema jitihada zake na magumu aliyopitia hatimaye yamefanikiwa kutokana na kuwepo kwa aina za uhuru zilizokuwa zikipiganiwa na watu wa kabila la Omoro.

  Mwanariadha huyo alimaliza mbio hizo akiwa kwenye nafasi ya pili katika mbio hizo za mwaka 2016.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako