• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Kampuni ya NIKE yakamata saini ya kinda wa Dortmund

  (GMT+08:00) 2019-04-12 07:55:48
  Mshambuliaji nyota wa Borussia Dortmund mwenye umri wa miaka 14, Youssoufa Moukoko ameshakuwa tajiri hata kabla ya kuanza kuchezea kikosi cha kwanza baada ya kusaini mkataba wa dola milioni moja za Marekani na kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike.

  Mshambuliaji huyo mdogo amekuwa akitikisa katika timu ya vijana ya klabu hiyo ambayo amefungia jumla ya mabao 36 katika mechi 21 za michuano ya vijana walio chini ya umri wa miaka 17.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako