• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Solskjaer: Tutapindua matokeo Hispania- Ligi ya Mabingwa Ulaya

  (GMT+08:00) 2019-04-12 07:56:08
  Ole Gunnar atalazimika kufanya kazi ya ziada ili kupata matokeo mazuri katika mchezo ujao wa robo fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya wakati Manchester United itakapokuwa ugenini kuivaa Barcelona kwenye uwanja wa Nou Camp.

  Kipigo cha bao 1-0 ilichokipata jumatano usiku kinamuweka kocha huyo katika nafasi finyu ya kusonga mbele ingawa amedai ana kikosi imara kinachoweza kubadili matokeo na kufanya maajabu katika mchezo huo utakaopigwa wiki ijayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako