• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa asema walinzi wa amani wa kike wanazifanya operesheni ziwe na ufanisi zaidi

    (GMT+08:00) 2019-04-12 08:49:36

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres ametoa wito kwa wanawake wengi zaidi kushiriki kwenye operesheni za kulinda amani, huku akisema walinzi wa amani wa kike wamezifanya operesheni hizo ziwe na ufanisi zaidi. Bw. Guterres amesema hayo wakati akiongoza mjadala wa Baraza la Usalama kuhusu wanawake katika ulinzi wa amani. Amesema, ushahidi umeonesha kuwa idadi kubwa zaidi ya walinzi wa amani wa kike inaleta majibu ya ulinzi ambayo ni ya kuaminika zaidi na yanaweza kukidhi mahitaji ya watu wa jamii za maeneo husika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako