• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya na UNEP zasaini makubaliano kuongeza eneo la misitu

    (GMT+08:00) 2019-04-12 08:49:53

    Kenya na Shirika la Mpango wa Mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP zimesaini makubaliano ya kusaidia kuongeza eneo la misitu, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuilinda nchi hizo dhidi ya uharibifu mbalimbali wa mazingira. Mradi huo unaoitwa kampeni ya "Kuifanya Kenya Rangi ya Kijani" utahakikisha miti milioni 50 inapandwa kuanzia mwezi Mei.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako