• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Netanyahu ashinda muhula wa tano wa waziri mkuu wa Israel

    (GMT+08:00) 2019-04-12 08:50:33

    Matokeo rasmi ya uchaguzi wa Israel yaliyotolewa jana usiku yameonesha kuwa chama cha waziri mkuu wa nchi hiyo Bw. Benjamin Netanyahu kimeshinda chama kikuu cha upinzani, Blue and White. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa tume kuu ya uchaguzi Jaji Hanan Melcer, matokeo hayo yalitolewa baada ya siku mbili za kuhesabu kura na kucheleweshwa kutokana na hitilafu ya kampyuta. Matokeo hayo yameonesha kuwa chama cha Likud cha Netanyahu kimeshinda viti 36 huku chama cha Blue and White kikipata viti 35.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako