• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani yamtuhumu mwanzilishi wa WikiLeaks kutokana na njama ya udukuzi wa kompyuta

    (GMT+08:00) 2019-04-12 08:51:03

    Waendesha mashtaka wa Marekani wamemfungulia kesi mwanzilishi wa WikiLeaks Bw. Julian Assange kwa tuhuma za kufanya njama ya udukuzi wa kompyuta. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na wizara ya sheria ya Marekani, hati ya mashtaka imesema kuwa Bw. Assange alikula njama na aliyekuwa mchambuzi wa intelijinsia ya jeshi la Marekani Bw. Chelsea Manning mwaka 2010 ili kupata data kwenye kompyuta yenye siri za serikali ya Marekani. Bw. Assange jana alikamatwa na polisi wa Uingereza katika ubalozi wa Ecuador huko London.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako