• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mamlaka ya Kodi nchini Kenya yazindua kampeni ya kukusanya kodi zaidi

    (GMT+08:00) 2019-04-12 08:51:17

    Mamlaka ya Kodi ya Kenya (KRA) imezindua kampeni ya kukusanya kodi zaidi ikikadiria ukuaji wa asilimia 40 katika zoezi hilo mwaka huu, huku zaidi ya walipa kodi milioni nne wakitarajiwa kuwasilisha kodi zao kupitia jukwaa la kwenye mtandao wa internet iTax ifikapo mwezi Juni.

    Kamishna wa idara ya kusimamia kodi za ndani iliyo chini ya Mamlaka hiyo Bi. Elizabeth Meyo amesema, wamezindua kampeni hiyo iitwayo 'Tujijenge' katika majukwaa ya vyombo vya habari vya kidijitali, radio na magazeti ili kuongeza uelewa wa jamii kuhusu umuhimu wa kulipa kodi.

    Amesema kupitia kukusanya kwa kodi, serikali imeweza kuhakikisha kwa mafanikio maendeleo ya miundombinu na miradi mingine nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako