• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni ya magari ya Mobius yalenga soko la Afrika

    (GMT+08:00) 2019-04-12 19:20:49

    Tangu izinduliwe mwaka wa 2014 nchini Kenya,kampuni ya magari ya Mobius Motors imefaulu kutengeneza magari 50 pekee ya majaribio.Mobius ni miongoni mwa kampuni za Afrika ambazo zinalenga kupata soko kubwa barani Afrika.Wakati kampuni kubwa za magari kama vile Toyota na Volkswagen zikiwa tayari zimeingia katika soko kubwa la Afrika, kampuni zingine za magari kama vile Kiira Motors, Kantanka ya Ghana na Innoson ya Nigeria tayari zimeanza kukita mizizi yao vizuri barani Afrika.

    Hata hivyo kampuni hizo zote za Afrika zinapata ushindani mkali kutoka kwa magari yaliyotumika yanayoingizwa kwa wingi Afrika kutoka nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako