• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Afrika wahimiza kuwapanga wanawake zaidi katika operesheni za kulinda amani

    (GMT+08:00) 2019-04-12 20:05:29

    Tume ya Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM inafanya juhudi kuwapanga wanawake zaidi katika operesheni za kulinda amani nchini humo, kutokana na mchango wao wenye ufanisi kwenye kutuliza hali ya Somalia.

    Naibu kamanda wa AMISOM anayeshughulikia operesheni na mipango Bw Nakibus Lakara, amesema walinzi amani wanawake wana uwezo wa kipekee katika kufanikisha operesheni za kulinda amani, na wana njia zao za kujenga mawasiliano na wenzao kwenye nchi hiyo yenye utamaduni nyeti. Ameongeza kuwa walinzi amani wanawake wana mbinu muhimu katika kukusanya taarifa, ambazo zina ufanisi wa kijeshi.

    Umoja wa Mataifa umehamasisha wanawake na wasichana wapiganie haki zao na kushiriki kwenye mchakato wa amani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako