• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KENYA: BROOKSIDE KUWALIPA WAUZAJI WA MAZIWA SHILINGI TANO MZAIDI KWA KILA LITA YA MAZIWA.

    (GMT+08:00) 2019-04-16 19:04:20
    Ni afueni kwa wakulima wa maziwa amabo wana kandarasi na kampuni ya maziwa ya Brookside nchini Kenya. Hii ni kufuatia kutangazwa rasmi kwamba watalipwa shilingi tano zaidi kwa kila lita ya maziwa, baada ya kampuni hiyo kuongeza bei ya pakiti ya maziwa yake. Ongezeko hili lina maana kwamba wakulima hawa wa maziwa sasa watapata shilingi 36 kwa kila lita ya maziwa, baada ya kuongezwa kwa asilimia 16 zaidi. Hatua hii inajiri baada ya kiangazi kikali ambacho kinaendelea kuathiri maeneo mengi nchini Kenya, hivyo kuwaathiri wakulima hawa pia. Kulingana na kampuni ya Brookside, zaidi ya wakulima 160,000 wnatarajiwa kufaidika
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako