• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KENYA: BEI YA UMEME KUPUNGUA IFIKAPO NOVEMBA

    (GMT+08:00) 2019-04-16 19:04:39
    Huenda ikawa nafuu kwa wakenya endapo mazungumzo kati ya Kenya na Uganda kuhusu kununuliwa kwa nguvu za umeme yataafikiwa. Kulingana na Waziri wa Kawi Charles Keter, makubaliano kati ya Kenya na Uganda kuhusu Kenya kununua nguvu za umeme kutokana Uganda yalitiwa sahihi mwaka wa 2014. Kulingana na makubaliano hayo, kila kilowatt kwa saa moja ingegharimu shilingi 22 pesa za Kenya. Ila kuna mazungumzo ya kupunguza bei hiyo hadi shilingi 14 kwa kila kilowatt kwa saa moja. Kando na kununua nguvu za umeme kutoka taifa jirani la Uganda, kuna miradi mingine ya serikali ya Kenya ambayo itasaidia kuchangia kupunzwa kwa ghrama ya nguvu za umeme.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako