• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • TANZANIA: WANAWAKE WAVUCI WAUNDA CHAMA CHAO

    (GMT+08:00) 2019-04-16 19:04:55
    Katinu mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi nchini Tanzania, dk. Rashid Tamatama, amezindua rasmi Mtandao wa Wanawake wanaojishughulisha na shughuli za uvuvi nchini ujulikanao kama (Tanzanian Women Fish Workers Association-TAWFA). Mtandao huu unatarajiwa kusaidia kuwawezesha kupata soko na fursa za kiuchumi. Kwenye mkutano huo ulioandaliwa jijini Dar Es Salaam, zaidi ya wajumbe 100 kutoka kote mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar walihudhuria. Dk. Rashid alisisitiza kwamba serikali kuu ina mipango mbalimbali ya kuinua wanawake kiuchumi. Kwa sasa wanawake wengi nchini Tanzania wanalalamikia mitaji na kuomba kuwezeshwa zaidi.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako