• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RWANDA: ALIBABA KUFUNGUA SOMO LA BIASHARA LA MITANDANI KWA WANAFUNZI WA RWANDA.

    (GMT+08:00) 2019-04-16 19:05:11

    Kampuni tajika ya kichina ya Alibaba ambayo hufanya biashara yake kupitia mitandao, inapania kufungua rasmi kozi ya somo la biashara ya mitandaoni katika chuo chake cha mafunzo ya kibiashara nchini Rwanda ifikapo mwezi Septemba mwaka huu. Kulingana na ujumbe kutoka Chuo cha Kibiashara cha Alibaba, wanafunzi 30 kutoka Rwanda watanufaika kwa shahada ya somo la biashara ya mitandao. Mradi huu ni moja ya ile iliyotiwa sahihi kati ya serikali ya Rwanda na kampuni ya Alibaba ili kufanikisha biashara duniani kupitia mitandao.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako