• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Eto'o apewa ubalozi wa Kombe la Dunia 2022 Qatar

  (GMT+08:00) 2019-04-17 09:08:21

  Mshambuliaji wa zamani wa Cameroon, Samuel Eto'o amepata heshima zaidi baada ya kutambulishwa kuwa Balozi wa fainali za kombe la dunia zitakazofanyika mwaka 2022 nchini Qatar.

  Eto'o atakuwa miongoni mwa mabalozi wat oleo la 22 kwa wachezaji kwenye michuano hiyo ya dunia itakayofanyika mwezi Novemba 2022. Eto'o ni mchezaji pekee wa Afrika aliyetwaa taji la ligi ya mabingwa barani Ulaya mara tatu akiwa na klabu mbili tofauti Barcelona na Inter Milan.

  Mshambuliaji huyu aliyewahi kutamba na klabu mbalimbali barani Ulaya, hivi sasa anacheza katika klabu ya Qatar SC na ameshafunga magoli 12 katika mechi 28 alizocheza.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako