• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: AFCON U-17- Serengeti Boys yagongwa tena,

    (GMT+08:00) 2019-04-18 09:49:12

    Timu ya soka ya vijana wenye umri wa miaka chini ya 17 ya Tanzania (Serengeti Boys) imeendelea kufanya vibaya kwenye fainali za kombe la mataifa ya Afrika kwa vijana AFCON U-17 baada ya jana kwa mara nyingine kuchapwa bao 3-0 na timu ya vijana ya Uganda uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

    Kocha wa Serengeti Boys amezungumza na Global TV na kutoa utetezi wake baada ya kupigwa bao 9 ndani ya dakika 180.

    Insert: Kocha wa Serengeti Boys

    Sasa Serengeti Boys itahitaji miujiza kuweza kuingia Nusu Fainali iwapo itaifunga Angola kuanzia 3-0 na Uganda itafungwa na Nigeria si chini ya 3-0 kwenye mechi za mwisho ili ifuzu kwa wastani wa mabao. Mechi za mwisho za Kundi A zitachezwa Aprili 20 Serengeti Boys ikimenyana na Angola Uwanja wa Taifa na Nigeria na Uganda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako