• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Korea Kaskazini yafanya majaribio ya makombora ya masafa mafupi

    (GMT+08:00) 2019-04-18 19:40:20

    Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesimamia majaribio ya makombora mapya ya masafa mafupi.

    Habari kutoka Shirika la habari la Korea Kaskazini KCNA zimesema, makombora hayo yaliyotengenezwa na taasisi ya ulinzi wa taifa ya nchi hiyo, yana mfumo maalum wa kuongoza njia na uwezo mkubwa wa mlipuko.

    Bw. Kim pia amesifu mchango uliotolewa na wanasayansi waliotengeneza silaha hiyo, ambayo itaongeza nguvu ya jeshi la umma la nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako